Wauguzi wanafunzi 306 ambao walipata nafasi za kufanya mafunzo ya nyanjani wameeleza masaibu ambayo yamewaacha kwenye njia panda. Wanafunzi hao wametofautiana na waziri wa afya Aden Duale kuwa walivunja sheria kwa kuendelea kuhudumu katika hospitali mbalimbali bila barua rasmi za uajiri. Waziri duale amesisitiza kuwa ni sharti wahitimu ndio waendelee kuhudumu na kupokea mshahara.
Wanafunzi wa uuguzi wakosoa hatua ya Waziri wa Afya Aden Duale - Citizen TV Kenya