Ziara ya M-pesa sokoni Magharibi na Nyanza inakamilika leo - Citizen TV Kenya

17 hours ago 55


Msafara wa MPESA sokoni unatamatisha ziara yake ya Magharibi na nyanza kwa kuzuru katito, Awasi, ahero na Rabuor kaunti ya kisumu hii leo. Tamati ya msafara itakuwa tamasha ya mpesa sikoni festival katika uga wa jommo kenyatta mamboleo
Open Full Post