Wadau wa kutunza mazingira wamekamilisha warsha ya siku mbili katika kaunti ya Kajiado kujadili namna ya kuweka mikakati zaidi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi hasa kwa kutumia taarifa za utabiri wa hali ya hewa ya hadi mwezi desemba mwaka huu
Utabiri wa hali ya hewa Kajiado - Citizen TV Kenya