Wanachama wa shamba la Emboloi Isinya walalamika

2 hours ago 1


Wanachama 300 wa shamba la kijamii la Embolioi lililoko Isinya kaunti ya Kajiado wametofautiana vikali na uamuzi wa mahakama ya Kajiado ya kutoa idhini ya kuendeleza shuguli ya ugavi wa ardhi hiyo ya ekari 200 ambayo imekuwa na mzozo wa muda mrefu
Open Full Post