Viongozi wa kidini walalamikia mwelekeo wa taifa
Viongozi wa kidini na kijamii wameelezea wasiwasi wao kuhusu mwelekeo wa nchi wakisema kuna haja ya kuwepo kwa maadili ,umoja na uongozi bora ili kulinda mshikamano wa kitaifa. Wamesma haya katika maonyesho ya tamaduni kanisani kaunti ya Kajiado