Baadhi ya shule zinajiandaa kwa mapito mwakani
Huku wanafunzi wakitarajiwa kuingia katika gredi ya kumi mwaka ujao maandalizi yanaendelea katika shule nyingi ili kuhakikisha mapito hayo yanafanikiwa. Wakizungumza wakati wa maonyesha ya sayansi, teknonoljia, uandishi na utamaduni huko Kitengela kaunti ya Kajiado, Wadau wa Elimu wanasema shule za upili zitakuwa tayari na hivyo hakutakuwa na changamoto ya kuwapokea wanafunzi wa gredi ya kumi