Walimu wa maeneo kame wadai kupuuzwa
Walimu wa maeneo kame nchini wamekosoa miungano yao ya KNUT na KUPPET kwa kufeli katika wajibu wa kuwatetea walimu,hasa kwa kufumbia macho masaibu ya walimu wanaohudumu katika maeneo kame nchini. Walimu hao sasa wametishia kuanzisha muungano utakaotetea maslahi ya walimu wa maeneo hayo