Vijana wahimizwa kuchukua kitambulisho Busia
Vijana waliofikisha miaka 18 katika kaunti ya Busia wamehimizwa kujisajili kupokea kitambulisho cha kitaifa ili kushiriki katika shughuli mbalimbali za kitaifa, ikibainika kuwa idadi kubwa ya vijana katika kaunti hiyo ya mpakani hawana stakabadhi hiyo muhimu