Tume ya ardhi yapokea malalamishi ya wakazi Makueni - Citizen TV Kenya

7 hours ago 165


Tume ya kitaifa ya ardhi NLC imeanza mchakato wa kusikiza malalamishi ya wakaazi wa Makueni kutokana na maonevu ya kihistoria ya ardhi kwenye kaunti hiyo...,tume hiyo ikisema ilipokea visa vya malamishi 14 makueni
Open Full Post