Msafara wa M-Pesa Sokoni wawasisimua wakazi mlimani - Citizen TV Kenya

11 hours ago 220


Msafara wa MPESA Sokoni umezidi kuwasisimua wakazi wa eneo la Mlima Kenya, huku Safaricom ikiungana na wateja aftermath kusherehekea miaka 18 ya huduma za MPESA nchini. Kampuni ya Royal Media Services imeshirikiana na Safaricom kusambaza ujumbe huo mashinani kupitia msafara wa MPESA Sokoni.
Open Full Post