Miaka 35 iliyopita, vuguvugu la kutafuta mfumo wa vyama vingi ulipata kasi na kuambulia kwa kukamatwa kwa viongozi wa upinzani waliokuwa wakishinikiza mageuzi. Charles Rubia, Kenneth Matiba na Raila Odinga walikamatwa siku chache kabla ya mkutano w akanza wa vuguvugu la saba saba ambao ulikumbwa na ghasia nyingi na maafa lakini ukachochea mageuzi ya kidemokrasia nchini. Brenda Wanga anaangazia ruwaza ya sabasaba kwenye makala haya maalum.
RUWAZA YA SABA SABA: Safari ya Mageuzi na Demokrasia Kenya