Ndiangui Kinyagia: Familia ya bloga yakanusha madai alikuwa na wanawake fulani kabla ya kutoweka

4 days ago 4
Familia ya Nduangui Kinyagia imekanusha madai kwamba alionekana mara ya mwisho akiwa na wanawake wawili, na kuwataka polisi kuzingatia kumtafuta.
Open Full Post