Msafara wa M-Pesa Sokoni kaunti ya Nandi - Citizen TV Kenya
Wakazi wa Kaunti ya Nandi walipata fursa adimu ya kuukaribisha msafara wa Mpesa Sokoni, ukiongozwa na watangazaji wa Radio Citizen na Chamgei FM – vituo vinavyomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services.