Magavana wataka kaunti zote ziwape watoto chakula - Citizen TV Kenya
Baraza la magavana sasa linahimiza kaunti zote kukumbatia mpango wa kuwapa wanafunzi wa chekechea chakula shuleni ili kuwavutia wengi shuleni na kuongeza viwango vya elimu. magavana hao walikuwa wakizungumza kwenye mkutano na washikadau wa elimu jijini Mombasa