Hotuba ya George Ruto Yawachekesha Wageni Harusini: “Sijaoa Siwezi Kupa Mawaidha Bro”

1 week ago 165
Mwanawe Rais William Ruto alijitambulisha kama George Kimutai, jambo lililowafanya baadhi ya Wakenya kushangaa kwa nini hakutumia jina la familia
Open Full Post