Changamoto kubwa zinazoathiri mfumo wa elimu zikiwemo upungufu wa walimu , ukosefu wa madarasa - Citizen TV Kenya
Ripoti mpya kuhusu taswira ya elimu nchini imeonyesha changamoto kubwa zinazoathiri mfumo wa elimu zikiwemo upungufu mkubwa wa walimu na ukosefu wa miundombinu muhimu kama madarasa, maabara na vyoo vya kutosha.hali hii ikichangia kudorora kwa viwango vya elimu haswa katika shule za serikali.