Babake Albert Ojwang’ Amwaga Machozi Ndani ya Gari la Maiti Mwili wa Mwanawe Ukipokelewa Nyumbani
Watu wengi walijitokeza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kisumu kupokea mabaki ya Albert Omondi Ojwang' kabla ya mazishi yake katika kaunti ya Homa Bay.