Wizara ya Afya yaanzisha kampeni ya chanjo dhidi ya Homa ya Matumbo na Ukambi

18 hours ago 2


Wizara ya afya imetangaza kampeni ya siku kumi kukabiliana na magonjwa ya homa ya tumbo, Ukambi na Rubella kote nchini. Kwa mujibu wa serikali, kampeni hii itakayoanza wiki ijayo inatarajiwa kusaidia kudhibiti maradhi haya. Na kama Emily Chebet anavyoarifu, kenya ni nchi ya tano barani Afrika kuanzisha chanjo mpya ya homa ya tumbo.
Open Full Post