William Ruto awataka Wakenya Uingereza kupuuza kinachoripotiwa na magazeti Kenya
2 days ago
2
Katika ziara yake nchini Uingereza, Rais Ruto aliwahakikishia Wakenya wanaoishi ng'ambo kuhusu mageuzi makali, akapuuzilia mbali ripoti mbaya za magazetini.