William Ruto Amteua David Ketter kuwa Kamanda wa Jeshi, Afanya Mabadiliko Katika Uongozi wa KDF
5 days ago
8
Rais William Ruto, katika nafasi yake kama Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya, ametekeleza mabadiliko ya juu katika uongozi wa Jeshi la Kenya