Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen azuru viwanja vya CHAN

3 hours ago 1


Waziri wa usalama Kipchumba Murkomen aliongoza timu ya usalama katika ukaguzi wa uwanja wa nyayo na Kasarani kutathmini mahitaji ya usalama kabla ya mashindano ya mataifa ya Afrika, mashindano ya CHAN ambayo yanaanza baada ya wiki mbili.
Open Full Post