Waziri wa afya anasema anapania kufunga vituo 1000 - Citizen TV Kenya
5 hours ago
220
Wizara ya afya inapania kufunga vituo vya afya elfu moja zaidi, ambavyo havijazingatia kanuni muhimu za utoaji huduma za afya ikiwemo idadi ya vitanda kwa wagonjwa.