Wazee wa jamii ya Tigania kaunti ya Isiolo wataka migogoro ikomeshwe - Citizen TV Kenya

2 hours ago 55


Wakazi wa Isiolo wameandamana kupinga bajeti ya Shilingi bilioni 7 waliyoitaja kuwa ya siri na isiyo na ushirikishwaji wa umma. Wanamtuhumu Spika Abdulahi Banticha na Karani wa Bunge Salad Boru kwa kuchochea migawanyiko na kuvuruga huduma za kaunti
Open Full Post