Wataalamu wa sheria wakosoa ujenzi wa kanisa ikuluni

4 hours ago 2


Mpango ya Rais William Ruto ya kujenga kanisa la kifahari la thamani ya shilingi bilioni 1.2 katika ikulu umekosolewa vikali na wataalamu wa sheria na viongozi wa kidini. Mawakili wanasema ingawa michango binafsi inaruhusiwa, kujenga jumba la kidini kwenye ardhi ya umma ni kinyume na katiba. Wakati huohuo, viongozi wa kiislamu wanataka msikiti pia ujengwe ndani ya ikulu
Open Full Post