Baadhi ya familia za wanasiasa zimejipata pabaya katika siku za hivi majuzi baada ya nipe nikupe, ambapo baadhi ya aftermath na waume wa wanasiasa hao wametajwa ili kufunga mabao ya kisiasa. Kutoka kwa kiongozi wa wengi katika bunge la kitaifa Kimani Ichung’wah na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, imekuwa wiki ya kucheza rafu
Wanasiasa watupiana cheche wakitumia familia - Citizen TV Kenya