Wananchi wataka KNHCR kupewa mamlaka ya kushtaki polisi - Citizen TV Kenya

6 hours ago 275


Kufuatia ongezeko la visa vya mauaji ya Vijana kila wanapotokea mijini kuandamana, na takwimu za waliopoteza maisha kukinzana na zile rasmi za serikali, ombi limetolewa la kuipa tume ya Kitaifa ya kutetea haki za binadamu mamlaka ya kuwashtaki washukiwa wanaotekeleza mauaji hayo
Open Full Post