Wanajeshi watatu wa Kenya wauawa Lamu kwenye shambulizi la kilipuzi
Wanajeshi watatu wa Kenya wameuawa, huku wengine saba wakiwachwa na majeraha mabaya mwilini, baada ya gari walimokuwa wakisafiria kukanyanga kilipuzi eneo la Badaah, kaunti ya Lamu.