Wanaharakati katika kaunti ya Makueni wataka wabunge kutupilia mbali mswada wa Esther Passaris

1 day ago 4


Wanaharakati kaunti ya Makueni wamewataka wabunge kutupilia mbali msawada unaopendekezwa na mwakilishi wa kike wa kaunti ya Nairobi Esther Pasaris wa kudhibiti maandamano.
Open Full Post