Wanafunzi wa taasisi za kiufundi wafuzu taaluma tofauti - Citizen TV Kenya
Wanafunzi 800 kutoka taasisi 10 za kiufundi katika kaunti ya Elgeyo Marakwet wamehitimu baada ya kukamilisha mafunzo yao ya kiufundi. Miongoni mwao, wanafunzi 120 wamepewa vifaa maalum vya kuwasaidia kuanzisha shughuli za kujitegemea kupitia mpango wa kujiajiri