Wakazi wa Napeitom Kapedo wanahangaika kuwapeleka wana wao shule

5 hours ago 1


Wakaazi wa Eneo la Napeitom huko Kapedo, Turkana East wanaendelea kuhangaika kwa miaka mitatu sasa kw akukosa shule ya kupeleka watoto wao. Hii ni baada ya shule ya kipekee ya msingi ya Napeitom iliyokuwa kijijini humo kuteketezwa na majangili wanaoaminika kutoka kaunti jirani..Haya ni licha ya serikali kuahidi kujenga upya shule zote zilizoharibiwa na majangili katika kaunti tano za bonde la ufa ila Napeitom imesahaulika.
Open Full Post