Wakazi wa marsabit wageukia ufugaji wa Samaki - Citizen TV Kenya
Ufugaji wa samaki umekuwa tegemeo jipya la kiuchumi kwa mamia ya wakazi wa Kaunti ya Marsabit. Hii ni kutokana na juhudi za uhamasishaji na mafunzo ya kuinua uwezo wa jamii wa kujitegemea, yanayoendeshwa na Shirika la Chakula Duniani (WFP) kwa ushirikiano na Serikali ya Kaunti ya Marsabit