Wakazi wa Lamu walalamikia kutwaliwa kwa ardhi
Wakazi wa Lamu wamefanya maandamano ya amani wakilalamika kuwa serikali imepora zaidi ya ekari elfu 70 za ardhi katika maeneo yaliyojengwa bandari ha Lamu. serikali ilihaidi kuchukua ardhi ekari 300 pekee ila kwa sasa serikali imetwaa ardhi kubwa Zaidi