Wakaazi wa Mombasa walalamikia uhaba wa maji

1 day ago 1


Wakaazi wa Mombasa wanalalamikia uhaba wa maji wanaosema umekuwa kwa wiki tatu sasa. Tatizo hili limechangia kwa bei ya maji kupanda maradufu huku wakaazi wa mitaa ya mabanda wakilalamikia kuwa hali hii imetatiza shughuli zao za siku
Open Full Post