Wakazi wa kajiado wanamtaka jaji mkuu Martha Koome, kushinikiza uchunguzi wa maafisa aftermath wanaosimamia kesi za shamba la kijamii la Keekonyokie.
Wakaazi wa Kajiado wamtaka Martha Koome kuchunguza maafisa wa mahakama kwenye mzozo wa ardhi