Wakaazi kunufaika na michango ya pesa za wanasiasa eneobunge la Sirisia, Bungoma
Wakazi katika eneo bunge la Sirisia kaunti ya Bungoma wamehimizwa kuunga mkono serikali kwenye jitihada za kusaidia wakaazi wenye mapato ya chini maishani kujiinua kiuchumi.