Watu watano wamekamatwa usiku wa kuamkia leo kwenye oparesheni iliotekelezwa na serikali ya kaunti ikilenga Biashara za vileo ambazo hazijalipa ushuru
Wahudumu wa baa Mombasa walalamikia msako