Wahudumu wa afya Embu walaani uvamizi hospitalini

6 days ago 440


Wahudumu wa afya katika Kaunti ya Embu wamelaani mashambulizi dhidi ya madaktari na wauguzi wakati wa maandamano ya Saba Saba, wakiitaka serikali kuchukua hatua za dharura kuwalinda wahudumu wa afya
Open Full Post