Familia za Brian Maina na Joseph Ndiangui zinaitaka serikali kuhakikisha haki inatendeka kwa watoto wao waliouawa. Wawili hao waliofariki katika maandamano ya wiki jana walizikwa katika kaunti za Nyeri na Kirinyaga kwenye mazishi yaliyojaa huzuni na majonzi.
Waandamanaji wazikwa