Chama cha wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kimeitaka serikali kuandaa kikao na vijana wa kizazi kipya Gen Z kutafuta mbinu mwafaka itakayotumika kutimiza mahitaji ya vijana badala ya kuandama.
Viongozi wa wanafunzi wa vyuo vikuu wamtaka Rais Ruto kuzungumza na Gen Z kutatua mgogoro