Viongozi wa upinzani waitaka serikali kudumisha amani nchini - Citizen TV Kenya
Baadhi ya viongozi wa upinzani na wakaazi wa Kajiado wametoa wito kwa serikali kuhakikisha kuwa kuna uongozi bora, unaozingatia uwajibikaji, usawa, na maslahi ya wananchi