Vijana,wanaharakati na walemavu wakutana Makueni

1 day ago 2


Makundi ya vijana,wanaharakati na waakilishi wa watu wanaoishi na ulemavu wamefanya kikao mjini Wote kaunti ya Makueni kutathmini maswala mbalimbali yanayowakumba huku wakisema serikali bado ina nafasi ya kutafuta suluhu ya mtafaruku uliopo wakisisitiza kuwa vijana wanashinikiza uadilifu na uwajibikaji wa serikali
Open Full Post