Video ya TikToker wa Gen Z Akinywa Maji ya Polisi Maandamanoni Yawachanganya Wakenya: “Sio shisha?”
Kijana mdogo wa Gen Z kwenye TikTok alipepea mtandaoni baada ya hatua yake ya kishujaa iliyomhusisha afisa wa polisi wakati wa maandamano ya hivi majuzi.