Video ya TBT ya William Ruto akiahidi kujenga kanisa Ikulu yaibuka: "Kanisa kubwa"

1 week ago 9
Video ya Rais William Ruto akiapa kujenga "madhabahu kubwa" katika Ikulu imeibuka tena mtandaoni. Kisha, Naibu Rais, Ruto, akaapa kujenga kanisa kubwa.
Open Full Post