Victor Wanyama, Ndugu Zake Wabeba Jeneza la Mama Yao Wakijiandaa Kumzika
Mwanariadha Victor Wanyama na ndugu zake watamzika mama yao kaunti ya Uasin Gishu. Mwanariadha huyo pamoja na ndugu zake, akiwemo Mariga, walibeba jeneza la mama yao