Uharibifu wa mitambo ya visima vya maji wakithiri Kajiado - Citizen TV Kenya

6 hours ago 110


Mji wa Kajiado na viunga vyake unakodolea macho hatari ya kukabiliwa na uhaba wa maji kutokana na uharibufu wa visima na wezi wanaouza vyuma vikuu kuu
Open Full Post