Uchunguzi wa maiti washindwa kupata risasi mwilini mwa bawabu aliyeuawa Stima Plaza: "Ilienda wapi?"
4 days ago
4
Siku chache baada ya mlinzi Fred Wanyonyi kuuawa kwa kupigwa risasi akiwa kazini katika ofisi za Kenya Power Stima Plaza jijini Nairobi, kifo chake kumekuwa fumbo.