Timu ya raga ya Strathmore Leos ndio mabingwa wa kombe la 'Ruff n Tuff' la mchezo wa raga
Timu ya raga ya Strathmore Leos ndio mabingwa wa kombe la 'Ruff n Tuff' la mchezo wa raga ya wachezaji saba kila upande baada ya kuishinda Mwamba RFC kwa alama 21 kwa 5 kwenye mechi ya fainali iyochezwa uwanjani Ngong Race Course hapa jijini Nairobi