Thika: Rafiki ya mwanafunzi wa chuo aliyeuawa katika maandamano akumbuka urafiki wao kabla ya kifo
4 days ago
5
Rafiki na mchumba wa mwanafunzi wa chuo cha Thika aliyefariki kwenye maandamano ya Juni 25 amesimulia nyakati za mwisho alizokaa naye baada ya mkasa huo.