Takwimu zaonyesha watoto wengi bado wanadhulumiwa - Citizen TV Kenya
Serikali imetamaushwa na idadi kubwa ya watoto nchini wanaopitia aina tofauti ya visa vya dhulma katika jamii na visa hivyo kukosa kuripotiwa katika vituo vya polisi kutokana na mila potovu