Siaya: Mwanaume aliyepooza kwa miaka 7 aomba msaada wa KSh 450k afanyiwe upasuaji kuokoa maisha
Erick Odhiambo alitoa wito kwa Wakenya wenye nia njema kumsaidia kuchangisha KSh 450,000 kwa ajili ya upasuaji wa uti wa mgongo kuokoa maisha yake.